Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Ushindi wowote Simba inatinga hatua ya makundiWakuu goli la ugenini inahesabika? Ikiisha 2-1 ni matuta au Simba inapita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wowote Simba inatinga hatua ya makundiWakuu goli la ugenini inahesabika? Ikiisha 2-1 ni matuta au Simba inapita?
Simba anapita, goli la ugenini litahesabike ikiwa mechi itamalizika sare ya magoli.Wakuu goli la ugenini inahesabika? Ikiisha 2-1 ni matuta au Simba inapita?
Kutokea kwa kamara?ulirushwa
Makundi? Wewe siyo Simba wewe ni utopoloSisi ni watu wa makundi tuu hakuna tofauti na hapo.
Mnyamaaa
naona unajifasiri mwenyewehizi timu zinagombea kuingia hatua ya makundi
jana timu ziliingia group stage ni vitu viwili tofauti kabisa
huna timu, mechi inaisha 2-2 mkuuKutokea kwa kamara?
mkuu kuna tofauti ya soka na kandandanaona unajifasiri mwenyewe
Siwezii kuwa utopolo nikiwa na akili zangu timamu. Ndani ya miaka 5 lini ulisikia Simba kashindwa kwenda makundiMakundi? Wewe siyo Simba wewe ni utopolo
Ndio maana ameulizaHujui mpira
Kwa ile pasi ya beki, hata Jobe akuachi paleNilikuwa najiuliza sana hivi Badru kaona nini kwa Ateba mpaka aombe aletewe Ateba ambadili Fred Koublan....!
Kuna kitu cha Ziada Ateba Kaonyesha..!
Sasa wana Lunyasi hapa tuendelee kunywa Mtori , bila shaka Nyama tutazikuta chini..
Hapo sawaSimba anapita, goli la ugenini litahesabike ikiwa mechi itamalizika sare ya magoli.
Hujui hata goli la ugenini linakuwaje?Ikitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Hata 3-2 ? Kushinda tunashinda hiiUshindi wowote Simba inatinga hatua ya makundi