Hata mimi sijamuelewaLineman yule kuna shida...offside gani
Yatakushinda😁😁😂.Wekeni Link basi tuwaone. 😃
kama mechi ya awali ingekuwa na waamuzi wa hovyo hivi basi nyau angepigwa goli zaidi ya 3Lineman yule kuna shida...offside gani
Hapo hakuna staff wa benki ya CBE , hapo kwa Tripol tu kuna wachezaji wanne wa bei ya Billions kadhaa kila mtu, team inalipa mshahara 130M hapo Yanga Sc mshahara mkubwa ni 20M.hakuna timu hapa wamekutana ma bwana miti
Kibu Mnorway😂😂Kibu anawapa pumzi ya moto mnorway
Mashujaa huyuhuyu?Sioni tofauti yoyote kati ya hii timu ya Al-Ahli Tripoli na Mashujaa ya Kigoma!
Mashujaa kuna mchezaji wa 4B ? Maana hata Yanga tu walishindwa kumalizia 15M za KagomaSioni tofauti yoyote kati ya hii timu ya Al-Ahli Tripoli na Mashujaa ya Kigoma!
refa ana bei gani hapo maana yuko chini ya kiwango haswaaaHapo hakuna staff wa benki ya CBE , hapo kwa Tripol tu kuna wachezaji wanne wa bei ya Billions kadhaa kila mtu, team inalipa mshahara 130M hapo Yanga Sc mshahara mkubwa ni 20M.
We tulia uangalie mpira tu.
Kwendaaaa...Mufungweeer
Kusajili kwa gharama kubwa siyo issue sana issue ni performance uwanjani. Kama ingekuwa hivyo basi Simba angekuwa ananyanyasika sana Leo uwanjani wachezaji wengi wa Simba ni wa buku jero ukilinganishana hawa wa Libya .Mashujaa kuna mchezaji wa 4B ? Maana hata Yanga tu walishindwa kumalizia 15M za Kagoma