Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
πππ wagonjwa wanauanaSimba 3-1 Al Ahli Tripoli & Utopolo
mkuu tusubir dak 90 kuna timu ilipigwa 3 dakik za nyongeza umesahau uko ulayaBaaaaaaaaaasiiiiii
UtotoAteba mshamba namana hiyo? Dk ya 60+ unavua jezi
Bado hamjasemaπ€£π€£Ndugu zangu, hawa wajinga washazingua.
Yule mjinga alishindwa nini kuchukua kadi ya timu? Anamsindikiza vile harusi ile?
Chuo cha CBE jana walikuwa matejaShabiki wa Simba anaefurahia huu ushindi ni mpumbavu, hawa jamaa ni zaidi ya walevi wanabutuabutua tu
refa ana mahabaAteba hajalimwa kadi?
Niko home , busy na simu,lakini nazisikia kelele za Banda umiza. Kila nikisikia kelele ,narudi kwenye Uzi kuangalia updates.Makelele ni mengi sana banda umiza...
Yeah, ana madhaifu mengi sana. Angekuwa makini Simba ilikuwa iwe mbele kwa mabao 5 hadi sasaukweli usemwe refa ana madhaifu mnooo
Hao waarabu hamna timu hapo,pira lenyewe lote kiujumla papatu papatuNdugu zangu, hawa wajinga washazingua.
Yule mjinga alishindwa nini kuchukua kadi ya timu? Anamsindikiza vile harusi ile?
Mahaba ya kijinga. Sheria zipo wazi ukibandua jezi tu kadi inakuhusurefa ana mahaba
Shughuri imeisha hapo tusubili makundi.mkuu tusubir dak 90 kuna timu ilipigwa 3 dakik za nyongeza umesahau uko ulaya
vile unajitahidi kujipa moyo ila ukikumbuka umependelewa mnooo unaona aibuYeah, ana madhaifu mengi sana. Angekuwa makini Simba ilikuwa iwe mbele kwa mabao 5 hadi sasa