FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Mkishindwa kuwapiga 5 ntawalaumu sana
mshawaweka kwa mfumo awa wametuangusha dadek zao
 
Yeah, ana madhaifu mengi sana. Angekuwa makini Simba ilikuwa iwe mbele kwa mabao 5 hadi sasa
vile unajitahidi kujipa moyo ila ukikumbuka umependelewa mnooo unaona aibu

refa wa awali angekua kama huyu ungepigwa nyingi
 
Back
Top Bottom