FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Hivi mashabiki wa Simba mpo siriasi kweli, mnafurahi hadi inatoka mishipa ya shingo eti kisa mnafuzu kuingia SHIRIKISHO
 
Makolo mme anza kujion Waarabu mna deka deka hapa
 
Hivi mashabiki wa Simba mpo siriasi kweli, mnafurahi hadi inatoka mishipa ya shingo eti kisa mnafuzu kuingia SHIRIKISHO
Acha umama wewe. Mlipovaa medali baada ya kuingia fainali hamkuandaliwa kitchen party pale ikulu. Au umejisahaulisha wewe chura jike
 
mkuu goli la 3 nimewaambia n faulo ilianza kutendeka mkakaza shingo ona goli limeondolewa
hawatakuelewa

nawaona simba wanakimbiana maan matumaini yanapungua 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…