FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Msimu wa vibonde umeisha rasmi leo sasa anzeni kukaza mik*ndu maana huko mbele mnaweza kuja kututia aibu kwa Mkapa.
 
Khaaa mbona swali la kipuuzi hili!?
Barcelona na Man United ipi timu tajiri?
Kati ya Barcelona na Man United ipi timu kubwa??
Hizo zote (Barca na Man Utd) zipo kwenye top 3 kiuchumi (kabla ya Barca kupata crisis ya uchumi hivi karibuni) na hata ukubwa katika historia na makombe kimpira wapo samamba vilevile (zote ni team kubwa kiuchumi, fanbase na makombe)

Mfano wa hizo team hauwezi kusimama kati ya Yanga Sc na Tripol, kwakua Yanga hajawahi kuwa na uchumi mkubwa kama ilivyokuwa Barca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…