FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Simba inaendelea na mipango yake bila kujali Yanga inafanya nini.
Nyinyi mna hiyari kucheza mechi zenu au kufuatilia ya Simba, ni juu yenu, maana Simba imeshajiweka kwenye kundi la wakubwa wa Afrika muda tu.
Kigezo kipi kimekufanya Simba ikae kundi la wakubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…