Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
😄😄Hakuna kuganga yajayo. Lazima upewe haki yakoYaliyopita si ndwele tugange yajayo wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Hakuna kuganga yajayo. Lazima upewe haki yakoYaliyopita si ndwele tugange yajayo wakuu.
Dua ya kuku haipati mwewe safari hii tunaleta kombe. Shida sio kombe Bali point. Hii Leo ndio ilikuwa fainali.Wewe piga kelele kama mwendawazimu ila hiyo Simba kwa inavyocheza haifiki popote pale.
Huwenda mkamaliza hata watatu kwenye kundi mtakalopangwa.
Mechi haijamshinda ameshapokea bahasha yake, Simba
Timu dhaifu zikikutana ndio zinafungana sitaGoli tatu tu lakini makelele mnayotupigia utafikiri mmeshinda sita
Hayakuhusu, halafu hivyo vidole vinakuelekea kwenye matacle yako. Acha shobo utapakwatwa mtoto wa kiumeUshabik maandaz [emoji867][emoji867]
Kabisa.Timu kubwa hata ikidhulumiwa goli huoni malalamiko mengi bali hurejea kufunga goli lililokataliwa ili walikatae tena.
Walibya wako kimya na viporo vyao 😂😂😂Sasa kwa sbb hapa hatubishani na wa Libya naona kuna timu B ya utopolo humu basi tufanye wao ndo Walibya...😀😀😀🙂
Umenikumbusha zamani sana😅😅😅Yanga makopo yanga makopo...Simba imara simba imaraa..
😄😄😄😄😄
Toka lini kinamama mkajua mpira!?Dua ya kuku haipati mwewe safari hii tunaleta kombe. Shida sio kombe Bali point. Hii Leo ndio ilikuwa fainali.
Umelelewa kiana hii. Mama yangu yuko kaburini. Hilo tusi litakuwa la mama yako. Tayari ignore list 🚮Kula chuma hiko kumamakoh. View attachment 3103431
kwani we unafanyaje mremboUlitaka wafanyaje we kima
😅😅😅Nimewaita Mods waje wakutimizie ulichotakaUkorofi huo sijapenda kuja kuniquote dakika za jioooooni 😂
Simba inaendelea na mipango yake bila kujali Yanga inafanya nini.Yanga imefika fainali, tupo hapa mafuta na maji vitajitenga vyenyewe.
Ubaya Ubwela unazidi kushamiri wa kwetu🤣Naunga mkono hoja.
Usinichonganishe na mods please😂😅😅😅Nimewaita Mods waje wakutimizie ulichotaka
Kigezo kipi kimekufanya Simba ikae kundi la wakubwa?Simba inaendelea na mipango yake bila kujali Yanga inafanya nini.
Nyinyi mna hiyari kucheza mechi zenu au kufuatilia ya Simba, ni juu yenu, maana Simba imeshajiweka kwenye kundi la wakubwa wa Afrika muda tu.