FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Tukupe risit Original?
 
Al ahly tripoli ni ndogo kwa Yanga tena saanaaa.
Sawa na hiyo Man United ukiipanga katika timu kubwa top 5 haiingii.
Man United imebaki kuwa timu tajiri tu ila ukubwa haina tena.
Unaizidi nini cha maana hiyo Ahly Tripol hata nikubaliane na wewe kuwa ni ndogo SANA compared to Yanga Sc? Maana ni moja kati ya team kubwa huko Lybia kama ilivyo Yanga Sx hapa Tz, makombe ya ndani ya Ligi imechukua sana kama ilivyo kwa Yanga Sc hapa Tz, likija swala la kimataifa wakati Ahly Tripolo inaingia nusu fainali wewe ulikuwa na miaka 24 hujanusa hata makundi, Pesa imekuzidi mbali sana beyond maelezo.


umeizidi nini hata useme ni ndogo sana tena saaaana?

NJOO NA FACTS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…