cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwendraaaaaa!!!Sisuuziki [emoji23]
Afu mlimuambia refa afute bao halali, muambieni afute na lile la Baruaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendraaaaaa!!!Sisuuziki [emoji23]
Niacheni 😂Kwendraaaaaa!!!
Afu mlimuambia refa afute bao halali, muambieni afute na lile la Baruaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeee.
Tukupe risit Original?Kila la heri Al ahly tripoli mabululu, na mkafanye vyema kama tunavyowaombea ili nyoyo zetu ziridhike haswa.
Kapigeni pale pale panapouma waanze kufarakana wenyewe kwa wenyewe.
Mkawakaange kwa mafuta yao wenyewe.
FT SIMBA 0-2 AHLY TRIPOLI
SIMBA ASIPOFUZU NILE BAN KWA MSIMU HUU WOTE ATAKAOSHIRIKI SHIRIKISHO.
NipeniTukupe risit Original?
😁😁😁Nimecheka sana 🤣🤣
Na Mabululu tunamnunua 😂😂😂Hii Simba inaenda kuwa tishio Africa na dunia...😉😉😉🙃🙃🙃
Tunawaheshimu ni vile kuombeana njaa ni kawaida kwa mahasimu.anyway unajua mwenyewe.
Tuishi mwanetu.
Mtuheshimu lakini.
Tunamnunua🤩🤩Mabuluu kalala mbele 🤣🤣🤣
Nunua kamba kwa Mangi masahibu yaishe.Au sumu ya panya upunguze mawazo.Unajua la kufanya.Waarabu wamenharibia kabisa siku.
Furaha Tu ndugu yangu. Hela zote hizo hawamo tena kwenye mashindano ya CAF inauma😔😔Hela itakuwa tatizo.
Ni mchezaji wa pesa nyingi, in wrong team
Unaizidi nini cha maana hiyo Ahly Tripol hata nikubaliane na wewe kuwa ni ndogo SANA compared to Yanga Sc? Maana ni moja kati ya team kubwa huko Lybia kama ilivyo Yanga Sx hapa Tz, makombe ya ndani ya Ligi imechukua sana kama ilivyo kwa Yanga Sc hapa Tz, likija swala la kimataifa wakati Ahly Tripolo inaingia nusu fainali wewe ulikuwa na miaka 24 hujanusa hata makundi, Pesa imekuzidi mbali sana beyond maelezo.Al ahly tripoli ni ndogo kwa Yanga tena saanaaa.
Sawa na hiyo Man United ukiipanga katika timu kubwa top 5 haiingii.
Man United imebaki kuwa timu tajiri tu ila ukubwa haina tena.
Moyo ulisuuzika sana niliagiza kinywaji kwa mbwembwe mno.Walivyotangulia mlifurahi sana. 🤣🤣
Una raha gani kufurahia Loser cup Kombe la kiduwanzi?Unatesekaa ukiwa wapiiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]