Japo wameshinda bila cleansheet lazima tuwapongeze ndugu zetu wanasimba Kwa kuubonda mpira pale Kwa mkapa lazima tuwe wazalendo linapokuja suala la kimataifa
Pongezi kubwa ziende Kwao ingawa naona safari yao itaishia hapa makundi[emoji23][emoji23]
Lakini tusisahau ...kipimo cha Simba kwenye kombe la wamama (shirikisho) ni lazima ifike final kama Yanga ,....au ibebe ubingwa
NB: maisha bila Jf .... unaweza ona siku ni kama mwezi[emoji23][emoji23]
View attachment 3105069