FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Kila la heri Al ahly tripoli mabululu, na mkafanye vyema kama tunavyowaombea ili nyoyo zetu ziridhike haswa.

Kapigeni pale pale panapouma waanze kufarakana wenyewe kwa wenyewe.

Mkawakaange kwa mafuta yao wenyewe.

FT SIMBA 0-2 AHLY TRIPOLI

SIMBA ASIPOFUZU NILE BAN KWA MSIMU HUU WOTE ATAKAOSHIRIKI SHIRIKISHO.
 
Hizi takataka zilizo omba caf zipangiwe matimu mabovu ili wapite kirahisi wanatuchukia..ndio maana timu yao inawakilishwa na rangi ya mavi (njano ni mavi ya binadamu na kijani mavi ya ndege)

Wana roho mbaya,wachawi na akili zao ni za kimavi mavi na kipuuzi
Ongeza kilio mkuu
 
Back
Top Bottom