FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Al Ahly imetulia sana hapa, hii Game yetu walibya.
 
Hivi kweli KIBU DENNIS, simba iliishiwa maarifa hadi kumbembeleza abaki ....
Baada ya kumpoteza CHAMA , simba ina struggle sana kupata ubunifu....
Utaona jinsi ATEBA anavyoteseka kupewa pasi za maana..
 
Back
Top Bottom