zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mechi iishe 1-1Goli la LHL halikuwa na ubunifu wowote zaidi ya uzembe wa mabeki. Muda bado upo, Simba SC inashinda hii mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mechi iishe 1-1Goli la LHL halikuwa na ubunifu wowote zaidi ya uzembe wa mabeki. Muda bado upo, Simba SC inashinda hii mechi
Wazawa wapo wanne tu!?? Ama kweli uzalendo aisee
Mod atakuwa kolo🤣🤣🤣Cookie mkeka umechanika huko ndo maana kalala, nlimwambia cookie muue simba, kaua mgeni
😄Cookie mkeka umechanika huko ndo maana kalala, nlimwambia cookie muue simba, kaua mgeni
🤣😁😁😁Eti anaoiga vile jicho kakodoa
hua inakutoa ugwadu?
Mpira ni mchezo wa makosa, ukifanya kosa wenzio wanawekaa🤣🤣🤣🤣Goli la LHL halikuwa na ubunifu wowote zaidi ya uzembe wa mabeki. Muda bado upo, Simba SC inashinda hii mechi
Unaliwa onyeki na p.diddyHapa dawa simba wapaki bus tu heri kuliwa kishundu kuliko vishundu