Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Pira lawama🤣🤣Si jana walisema leo watatuonesha pira 🤣🤣 kumbe pira lenyewe ndo hili wanaanza kulaumiana huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pira lawama🤣🤣Si jana walisema leo watatuonesha pira 🤣🤣 kumbe pira lenyewe ndo hili wanaanza kulaumiana huku
Ga.e sangapi mkuuتشكيلـة الزعيـم لمواجهـة سيمبـا 🇳🇬⚔️View attachment 3103311
Ikitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeniTunahitaji magoli 2
Ni striker ila afanyeje sasa hakuna anaemlisha.Ateba ni winga ,, striker au ni nani. Au ndio mbuzi kwenye gunia
Hakuna kitu kama hicho goli la ugenini linatumika pale idadi ya magoli kwa mechi zote 2 yanapolinganaIkitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Bas jamaa wanasafari ndefu sana..Ni striker ila afanyeje sasa hakuna anaemlisha.
Hapana, goli la ugenini huwa linahesabiwa pale mnapokuwa drawIkitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Lakini si tumesajili wachezaji wa kumlisha, wengi tu?Ni striker ila afanyeje sasa hakuna anaemlisha.
Imekuaje hapo?Dakika ya 30
SIMBA 0
AL AHLI TRIPOLI 1 ( 17" Agostinho Cristóvão Paciência)