Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Hamna mipango ya goli akijaribu zile 20 Simba watapata off Target 20Ateba akijaribu namna ile mara kadhaa atapata bao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mipango ya goli akijaribu zile 20 Simba watapata off Target 20Ateba akijaribu namna ile mara kadhaa atapata bao
Jamaa kashafanya balaa lupaso.Mwamba huyu hapa!
View attachment 3102549
Kocha kafanyajeDk 32, upo ngumbani lakini simba inashindwa kutengeneza hata clear chance 1...then useme kuna kocha hapo..???
BadoHalf time 1-1
Naunga mkono hoja 🤣Mpigieni simu awaambie kipi cha kufanya nyakati hizi ngumu
View attachment 3103373
Bora ushabikie rede ,shabiki wa mpira unashindwaje kujua goli la ugenini linavyokuwaIkitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Simba kafungwa 1 hadi sasa dakika ya 35Imekuaje hapo?
Laana inawatafunaMpigieni simu awaambie kipi cha kufanya nyakati hizi ngumu
View attachment 3103373
Hakuna matuta tena hapa.Ikitoka 2 Kwa moja si inakuwa matuta maana goli la ugenini linambeba mgeni
Muda wa matusi kwa mzee wetu umekaribia. Namuona hapa jukwaani.Wazee, Mangungu atoke asitoke?