FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Tuseme ukweli tu Simba Bado kikosi hakiko vizuri na hata kama watapita wanipange vizuri zaidi. Siyo kikosi cha matumaini ya kufika mbali kwenye hii michuano. Naongea kiufundi siyo kishabiki.
Simba Sc sio mbovu kiasi hicho na kama utaamua kuipima kwa mechi hii, ni lazima ukubali kuwa inacheza na mpinzani ambaye sio mchekea, however nitakusupport kiufundi, kama ifuatavyo:-

Tunahitaji winga Mmoja achukue nafasi ya Mutale, probably Mpanzu kama ataaweza kucheza kuanzia hatua zinazofuata (Makundi).

Tunahitaji kupata namba 10 ambaye atakuwa mbadala wa Ahoua wakati ambapo game zitamuendea vibaya.
 
Hatari sana hadi waarabu defence line yao wanajishika viuno, kwa kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom