Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Naongea kiufundi siyo kishabiki huku roho inaumaTuseme ukweli tu Simba Bado kikosi hakiko vizuri na hata kama watapita wanipange vizuri zaidi. Siyo kikosi cha matumaini ya kufika mbali kwenye hii michuano. Naongea kiufundi siyo kishabiki.