MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Huko shirikisho hakunaga mabingwa😀Nawakumbusha tu Sio Kwa Ubaya Hawa Sio Wanafunzi wa Chuo CBE...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko shirikisho hakunaga mabingwa😀Nawakumbusha tu Sio Kwa Ubaya Hawa Sio Wanafunzi wa Chuo CBE...
Bado hujasema...Simba mna safari ndefu sana, kama ushindi wenyewe ndio huu hadi mumkamate kibonde
aone wapi kama haoni faulo zenu ataona iyoRefa sijui hajaiona hii red card.
na shabiki wa Yanga anayehuzunikia mechi ambayo timu yake haichezi ni mpumbavuNasema hivi, shabiki wa Simba anaefurahia huu ushindi ni mwerevu
Ndio...kwani we uko wapi!?Kuna wanaosema goli la 3 halijahesabiwa, ni kweli?
umeona ile amepewa mavambo alafu fresh tu mimi ile ni red cardKawe wewe refa basi
limefutwaaaaaKuna wanaosema goli la 3 halijahesabiwa, ni kweli?
Kabla ya kuibeza Tripol, nimekuuliza hapo Yanga Sc (team unayodhani ni kubwa sana kuliko Tripol), mshara wenu mkubwa kwa mchezaji ni bei gani?refa ana bei gani hapo maana yuko chini ya kiwango haswaaa
goli la 3 naskia limekataliwaKwani ubao unasomekaje, ni 2-1 au 3-1 ?
JF Ni goli....Ila pale uwanjani sio golimbona wanasema goli mara sio goli sielewi
Naskia refa kafutaHawa azam goli Moja wamewapunguzia hawa tripoli kwenye ubao......