FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Hawa Azam mbona scoreboard inasoma 2-1?

 
Sijaelewa hapa si niliona goli ni 3 imekuaje tena inasoma goli mbili?
 
Acha umama wewe. Mlipovaa medali baada ya kuingia fainali hamkuandaliwa kitchen party pale ikulu. Au umejisahaulisha wewe chura jike
Kwamba unajipa tamaa na wew utafika fainali?!?

Vichekesho
 
Anachokifanya Kocha leo ndio kilizitoa team nyingi kubwa kule AFCON.

Ukiwa mbele kwa mogoli mara nyingi utawaza kujilinda kwa kufanya sub, wakati team iliyo nyuma itajaribu kuongeza washambuliaji ili kupata goli.

Ikitokea team iliyoko nyuma imesawazisha maana yake hautaweza kutafuta goli tena kwasababu umejaza walinzi tu kwenye team yako.

Ikitokea ubao umesoma 2-2 hata kwa bahati mbaya hapo, Simba Sc haitakuwa na uwezo wakutafuta jingine.

Mpaka sasa hii game kaiharibu kocha mwenyewe.

FADLU NI MJINGA SANA.
 
Back
Top Bottom