tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Me mwenyewe nasubir jibu, ujinga tu Africa.Naomba aliyeelewa kosa gani limesababisha goli la 3 kukataliwa?????
Sasa sijui simba ataweza kumudu mpaka mwisho haya matokeo daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenyewe nasubir jibu, ujinga tu Africa.Naomba aliyeelewa kosa gani limesababisha goli la 3 kukataliwa?????
Hawa wasenge na vibendera vyao wangeona jinsi magoli yalivyokuwa ya shida wasingethubutu kufanya usengeLimefutwa eti offside. Dah Huyu kibendera amepuyanga pakubwa
refa ana madhaifu mno, hakuna offside pale labda anambie kulikuwa na faulo upande wa kulia wa beki wa simba kabla mpira haujapipgwa mbeleLile goli la Ateba tumepigwa, hakuna offside yoyote pale. Waamuzi wanatuhujumu
wasenge wameonesha mahaba kwa nyau hii mechi angepigwa mapemaHawa wasenge na vibendera vyao wangeona jinsi magoli yalivyokuwa ya shida wasingethubutu kufanya usenge
Hii sub imechelewa. Ilitakiwa ifanyike mapema sana.80" SUB KWA SSC
MUTALE NJE
BALUA NDANI
😂😂😂Hawa wasenge na vibendera vyao wangeona jinsi magoli yalivyokuwa ya shida wasingethubutu kufanya usenge
Likirudi ni ujinga wa Kocha kuaifanya Simba Sc ipark bus kwa kuingiza viungo walinzi team nzima, licha ya kwamba ilikuwa imeushika mchezo.Simba
Mkifanya utani hili goli linarudi
Mi nikajua hata ni VAR kumbe kibendera ndo kakataaNaomba aliyeelewa kosa gani limesababisha goli la 3 kukataliwa?????
Kocha muoga huyu...Sikuwahi kujua kama Fadlu ni kocha mjinga hivi, hii risk ya kuanza kulinda goli (tena moja) zikiwa zimebaki dakika nyingi hivi maana yake nini?
Yani team iliyokuwa imeushika mchezo ianze kushikilia bomba kwa dakika zaidi ya 10?
Muda wa kubinya pumbu huu.Sikuwahi kujua kama Fadlu ni kocha mjinga hivi, hii risk ya kuanza kulinda goli (tena moja) zikiwa zimebaki dakika nyingi hivi maana yake nini?
Yani team iliyokuwa imeushika mchezo ianze kushikilia bomba kwa dakika zaidi ya 10?