Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Huko sipo mkuuKaubonda utamu wako ama kitu gani?[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sipo mkuuKaubonda utamu wako ama kitu gani?[emoji3][emoji3]
Pole sana mimi ni Yanga sio A wala BIlikuwa ni yangu B...
Yanga A ni ile ya jana..
Mjini hapa mkuu akili ni muhimu sana.Ume edit bro🤣
Unachpata kwenye mchezo wa soka lazima ushangilie bila kujali ukubwa ulionao.Leo 5imba anashangilia makundi shirikisho 🤣🤣🤣 Dunia iko kasi sana
Shirikisho uanaumeni huko 🤣Boli La Kiume...!
Sio CBE hawa au Zalani...
Hongera mkuuUnajisikiaje we Utopwinyooooo
ingekuwa malalamiko fc lile goli kukataliwa muda huu tusingepumua mapovu kila mahalaTimu kubwa hata ikidhulumiwa goli huoni malalamiko mengi bali hurejea kufunga goli lililokataliwa ili walikatae tena.
Mwana Yanga mstaarabu🤩Hongera mkuu
Na barua juu CAF na kuchafua page za refa kwa broken English na Kiswahili😂😂ingekuwa malalamiko fc lile goli kukataliwa muda huu tusingepumua mapovu kila mahala
cbe wantambulika na NACTVETAl Hilal Tripoli yupo kwenye database za CAF ila C.B.E hayupo
Al Hilal anatambulika na CAF wakati C.B.E anatambulika na NECTA
Saivi kwenye makundi kila timu inaomba apangiwe nyie hahaHahaha🤣🤣🤣🤣 sitana timu gani sasa?
Unafunga wanafunzi maneno kama yote🤣🤣
Robo fainali kadhaa wa kadha ligi ya Mabingwa zinaheshimisha.Kigezo kipi kimekufanya Simba ikae kundi la wakubwa?