Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kalpana katunze ndoa kwanza huo ubaya ubwela utakurudia wewe...😂Huu ndo ubaya ubwela wenyewe sasa
Hilo sio jukumu langu sina uwezo wa kujibanKuonyesha uungwana, hukutakiwa kuedit kiapo chako. Vinginevyo watu watakuwa hawachukulii kwa uzito posts zako, utakuwa kama Pdiddy tu. Kwa upande fulani namsifu Laban maana huwa anatumikia ban zake bila kinyongo
WatekelezsAhadi ni deni mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huoni aibu kuwa huru? Unastahili kumfuata LabanHilo sio jukumu langu sina uwezo wa kujiban
Ndio madhara ya kuropoka bila kuwajibika.Huoni aibu kuwa huru? Unastahili kumfuata Laban
Ngoja tuone..Bahati nzuri simba siyo wageni barani Afrika, kila timu inatujua.
Wanajua kupangwa na Simba ni kuaga mashibdano
Wasindikize airport, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila lakheri wageni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubaya upwilu kila la kheri tripoli goli mbili zinatosha kuwanyamisha hawa makolo
Na limeumiaaa haswaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi huwa nazipenda mechi za namna hii, yaani ukimfunga mtu kuna kundi kubwa sana la watu linaumia wiki nzima.
Ova
Unatesekaa ukiwa wapiiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo na WaLibya Waafrika wenzangu , hata Makolo akipita haistui inakuwa amepita Kombe la Loser.
Sasa nijipige ban? Nna uwezo huo?Huoni aibu kuwa huru? Unastahili kumfuata Laban
Mtaniiiiii, naombaa uambatanee na brooh ako mabululu, ninaa tibaa yenuu na mtaponywaaa!!Mie Shadeeya binti wa mzee Cristòvāo naitakia kila la kheri timu inayompa ugali brother angu Mabululu.
#Kilamtuashindemechizake.
Wee half cast koko, hii Comment ako mbonaa haieleweki? Umevurugwaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la heri Al ahly tripoli mabululu, na mkafanye vyema kama tunavyowaombea ili nyoyo zetu ziridhike haswa.
Kapigeni pale pale panapouma waanze kufarakana wenyewe kwa wenyewe.
Mkawakaange kwa mafuta yao wenyewe.
FT SIMBA 0-2 AHLY TRIPOLI
SIMBA ASIPOFUZU NILE BAN KWA MSIMU HUU WOTE ATAKAOSHIRIKI SHIRIKISHO.
Mpira ni burudani acha niburudike 😂Wee half cast koko, hii Comment ako mbonaa haieleweki? Umevurugwaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una tatizoo ganiii? Ninaa tibaa ya wotee wanaoumia, kisa Simba kwenda Group stage.Waarabu wamenharibia kabisa siku.
Poleee wee, na bahatii yako cna mood leo, ningekusuuza mbwaa wee,Mpira ni burudani acha niburudike [emoji23]
Sisuuziki 😂Poleee wee, na bahatii yako cna mood leo, ningekusuuza mbwaa wee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]