Simba💪🏿👌🏿❤Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji hilo msimu huu, huku Mbeya City nao wakisaka kushtua vigogo na kuendeleza safari yao ya mashindano.
lazima wawe na heshimaDah, hii ndo inaitwa Low block.! Sio kwa kujazana hivi nyuma kwa mbeya city.
Arajinga ana bahati zaidi na yanga.. msimu huu tu mechi 8Tatu Malogo ana bahati sana ya kuchezesha mechi za simba! Na mara zote alizochezesha, simba lazima ishinde.
What do mean? Kwamba hawa mikia wametengeneza daraja kwa Tatu?. Umekumbuka nini kwenye ngai ya jamii Tanga? Kwa Tatu malongo?Tatu Malogo ana bahati sana ya kuchezesha mechi za simba! Na mara zote alizochezesha, simba lazima ishinde.