MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Azam ni kikundi cha wauza ukwaju.Azam ina homa ya vipindi.. hawakuiheshimu Mbeya City.
Azam ni kikundi cha wauza ukwaju.Azam ina homa ya vipindi.. hawakuiheshimu Mbeya City.
Wanaonyesha hata Leo walikua mubashara sema TU walichelewa kuingilia system za Azam.
Kwa mpira huu watashuka tena tuInashika nafasi ya pili daraja la kwanza nahisi watapanda ligi kuu
Mpaka muda huu fainali ni uhakika. Labda wafungwe kwa makusudi.Tuone sasa kama na huku hawatacheza
Sisi kila nusu fainali tumoo...ahaha
Hongera 😎Sisi kila nusu fainali tumoo...ahaha
Asante mtani...Hongera 😎
Kocha wetu wa Simba tunaomba uwapumzishe baadhi ya wachezaji kwenye hii mechi. Kwa kweli unawatumia kupitiliza. Timu haina kabisa rotation!
Kuna baadhi ya wachezaji wetu mfano Mzamiru Yassin, Aishi Manula, Valentine Nouma, Okejepha, Debora Mavambo, Aweso Aweso, nk. wanaelekea kusahaulika kwa kukosa kabisa nafasi ya kucheza! Kwa nini huwaigi watani zetu Yanga ambao karibia wachezaji wao wote walio wasajili msimu huu wanapata nafasi ya kucheza hata kwa dakika chache!
All in all, naitakia ushindi timu yangu ya ukweni Mbeya City.