FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

Kosa la kiufundi walilifanya Mbeya city baada ya Kupata bao la uongozi wakaona kumbe inawezekana Wakaanza kupishana na kufunguka.

Wakaachana na Low block, mvua ikawanyeshea
 
Simba imuangalie na kumuandaa Mashaka kama mbadala wa Mukwala hadi msimu utakapoisha. Nahisi Ateba hatakuwa na msaada sana kwa Simba katika mechi ngumu zijazo maana amepoteza umakini, kujiamini na uchu wa kufunga.
 
Fawanews hawaonyeshi confederation ni ligi kuu tu kwa upande wa ligi za ndani ya tanzania
Wanaonyesha hata Leo walikua mubashara sema TU walichelewa kuingilia system za Azam.
 
Refa tatu lazima washinde
Ila Stellenbosch atajipigia sana hii team
Mmepata mume mpya baada ya al masry kuchakazwa lupaso na ndoa yenu ya mkeka kufa?
 

Attachments

  • SportsarenatzTz_20250413__1911386644084650368_1_19113865785989570560.mp4
    603.8 KB
Back
Top Bottom