FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

Simba💪🏿👌🏿❤
 
Dah, hii ndo inaitwa Low block.! Sio kwa kujazana hivi nyuma kwa mbeya city.
 
Hapa inavyoelekea kwa jinsi MCC walivyopaki behewa , kupata goli ni shughuli nzito.!
 
Bila shaka tutashuhudia magoli zaidi, Maana naona mbeya city wameamua nao kufunguka na kupishana
 
Tatu Malogo ana bahati sana ya kuchezesha mechi za simba! Na mara zote alizochezesha, simba lazima ishinde.
What do mean? Kwamba hawa mikia wametengeneza daraja kwa Tatu?. Umekumbuka nini kwenye ngai ya jamii Tanga? Kwa Tatu malongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…