FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

Mtangazaji: Unafikiri nini sababu ya kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Simba?

Kelvin Nashon: Simba walicheza wakiwa 12

Mtangazaji: Kivipi mbona wote mlikuwa sawa uwanjani?

Kelvin Nashon: Kulikuwa na Chama eneo la ulinzi, eneo la kiungo na eneo la ushambuliaji.
 
Haya mambo sisi tumeshayazoea, sisi ndio mabingwa wa kupiga pass hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23]. Leo angalau mmeanza kupiga pasi tena baada ya kukutana na timu mbovu ya singida
Bwahahaha buhahahaaa acha basi utani mtani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…