joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Honesty sikutizama mpira dk zote ila kwa dk 60 nilizotizama kabla Tanesco kufanya yao ,Sakho hakutakiwa hata kurudi kipindi cha pili na Sakho hii sio mechi ya kwanza style yake ni ile ile ya kukaa na mpira bila kufanya cha maana na kupoteza mipira.Makosa ya wachezaji ni sehemu ya mchezo kwahiyo huwezi kuyaondoa unapoangalia matokeo, unaposema game ingeisha droo bila yale makosa ya Kagere unakuwa na akili za kikombolela tu.
Haya na mimi nasema hivi, bila makosa ya Baleke (zile nafasi mbili) na lile kosa moja Zimbwe, game ingeisha 6-3.
Ushabiki usiwatoe akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sakho tulimkataza kufunga magoli kama yale kwenye NBC lakini ye hasikii
Hakuna aliyetazama mpira dakika zote labda yule aliyekuwa uwanjaniHonesty sikutizama mpira dk zote ila kwa dk 60 nilizotizama kabla Tanesco kufanya yao ,Sakho hakutakiwa hata kurudi kipindi cha pili na Sakho hii sio mechi ya kwanza style yake ni ile ile ya kukaa na mpira bila kufanya cha maana na kupoteza mipira.
Unaelewa maana ya kisasi?Unaita mechi ya kisasi afu unapata bao 1 nalo la mbinde afu unataka kujiona nawe ni big fish?
Kafungwa Singida anayesikitika Aziza Mtamu!Kafungwa SBS wanaolia wengine.
Kwenye ubora wakoNyie nyoka nyoka mlioanza kukoment juu kama uzi unawahusu mtaumbuka vibaya...leo mtababuka ngozi zenu..mtajivua magamba leo...hahhaahhah
Na promo mkapiga na kwa wasiojua ligi yetu walidhani mnacheza na timu yenye upinzani kama Al AhlyUnaelewa maana ya kisasi?
Be careful what u're wishing for[emoji4][emoji4][emoji4]Wale wazee wa kufoji mikataba wasilete timu paka wale
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Mikia/Makelele/Kolowizards/Ngada mnaridhika haraka sana kama jinsi ile.Sijaona timu ya kumfunga Simba hapa Tanzania kwasasa
Unapotaja Singida BS tayari umemtaja Mwigulu na kwa mantiki hiyo unaizungumzia Yanga BKama sio mambo ya bahasha mngedhalilika sana,karibu uone pira la halali kesho
Mapenzi huleta upofu.Sijaona timu ya kumfunga Simba hapa Tanzania kwasasa
Weka hapa idadi ya magoli aliyonayo huyo Makolokolo wenu [emoji38]Sakho tulimkataza kufunga magoli kama yale kwenye NBC lakini ye hasikii
Unabisha Sasa....???Mapenzi huleta upofu.
Unashauri wafanyaje?Ni swala muda uzuri JF ipo hapa mda si mrefu mtakataa.
Gari la gereji hilo, mechi ijayo Makolokolo wakizidiwa mpira mtamkataa tena na kumwita KONOKONO [emoji23]Mkuu denooJ kumbe ulikuwa sahihi uliposema
"kumbe kuwa na Chama kwenye timu kuna maana kubwa sana. Jamaa anawafanya waliomzunguka wawe wazuri pia"
Nilikuwa Benjamin Mkapa mashabiki tuligoma kwa muda kidogoKibanda umiza hapa mashabiki wamegoma kutoka wanataka ujugu wa hapa awatoze hela tena kwa soka ambalo wameliona..