FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Muda ni Saa 2:15 Usiku.

Kikosi cha Simba Kinachoanza.

Kikosi cha Singida FG Kinachoanza
#nguvumoja#.

Updates...

Dakika ya 5'
Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama.

Dakika ya 8'
Penati wanapata Simba.
Anaipiga Saidoo
Goaaaaaaaaalllll

2-0.

Dakika ya 34'
Fredddd Goooooooooooal
Simba wanapata goli la 3.

3-0

HT
Simba 3-0 Singida FG.

Kipindi Cha Pili.
Simba wanafanya Sub.
Inonga Out
Kennedy Juma Inn.

FT
 
Matola Leo panga kikosi kamili.
Mambo ya kuwajalibu akina Gwede hatutaki.
1. Kipa Mwarabu
2. Shabalala
3. Kapombe
4. Mdogo wangu Che Mallone
5. Innonga
6. Ngoma Fabris
7. Kibu
8. Kannoute
9. Pa Jobe Omar
10. Chama
11. Chasambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…