ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kauli za kujifarijiMnyama anaendelea kupasha kujiandaa na draw na CAFCL QF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli za kujifarijiMnyama anaendelea kupasha kujiandaa na draw na CAFCL QF.
Kusema kweli hao Mamelodi ndio ninaowataka, wacha vyura wapewe watoto wenzao.Hii Mechi ya Leo imekaa Kinafiki sana..
Maana Molare ya Wachezaji inategemea na Timu watakayopangiwa Robo fainali..
Kama wakipangiwa na Mamelodi basi Fountain Gate Watakuwa wameshinda
Mboni hawajali hisia ZetuTimu ni yetu kuliko wao
Bettina na Zena
Pwagu Na PwaguziBettina na Zena
Mule mule yaniSimba Vs Al ahly
Yanga Vs Masandawana
Tp Mazembe Vs Petro de Luanda
Esperance Vs Asec mimosa
Source: Trust Me Bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba uliyajuaje haya Matokeo.Simba Vs Al ahly
Yanga Vs Masandawana
Tp Mazembe Vs Petro de Luanda
Esperance Vs Asec mimosa
Source: Trust Me Bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri Singida Big StarsView attachment 2932764
Muda ni Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2932807
#nguvumoja#.
Tupo tunamfikilia Mamenlod kwanza, hii game Simba anaenda kutoa sare.Uzi umesahaulika huu
Nawe umeathiriwa na hicho kiungo hadi umekiweka profile?Watu mnawaza mpira muda wote hadi mmeathiriwa na matokeo ya mpira.