FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Hii Mechi ya Leo imekaa Kinafiki sana..
Maana Molare ya Wachezaji inategemea na Timu watakayopangiwa Robo fainali..

Kama wakipangiwa na Mamelodi basi Fountain Gate Watakuwa wameshinda
 
Kuna kila dalili za kufungwa leo maana singida nao ni kama azam ni kati ya timu zinazotukamia sana, sasa kama prisons tu ambao hawatukamiagi walitufunga sembuse hawa, anyway kila la heri
 
Naskia Mechi itaanza saa Mbili na Robo usiku wa Leo.
Sababu ya kuruhusu wenye kufunga wafungue.
 
Leo nitaangalia mpira.
Mpira ambao kila timu inapambana kwa bidii.
Jana sikuona sababu ya kuangalia mpira baada ya kumwona kiongozi amekesha siku mbili nzima kwenye kambi ya Ihefu.
 
Back
Top Bottom