Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Naomba kuuliza, Sadio Kanute ana shida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana bushaNaomba kuuliza, Sadio Kanute ana shida gani?
Utashangaa Singida wanakamia game inakuwa ngumu kupita kiasi ila hao hao wakicheza na Yanga unaona watu wanateleza tu utafikiri timu pinzani walikuwa club usiku wa kuamkia mechi
Penati na weshafungwa 1. Gool. La 2.Singida mkishindwa kuwafunga leo hao Makolo waliojichokea hamshindi tena