FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Hivi Azam na utajiri wake wote wanashindwa kuweka taa za kutosha tuone vizuri.
 
Homeboys leo wamevamia mtumbwi wa vimbwengo wanalipwa hasira za samson mbangula , na vile saivi wabovu wachezaji wamehamishwa😅
 
Al Ahly wanacheki ball sasa hivi wanatetemekeana
 
Nikisema Simba SC anajiandaa na game ya robo fainali CAF muelewe...
 
Back
Top Bottom