FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Hiyo timu hamuhusu Nchemba,Ihefu ndiyo next Singida
Singida Fountain Gate iliitwa hivyo baada ya Singida United ya Mwigulu kuungana na Fountain Gate walio na timu ya wanawake ili Singida apate kibali cha kucheza mechi za CAF, ndio akashiriki shirikisho.

Tambua CAF bila kuwa na timu ya wanawake huwezi kushiriki mashindabo yao ya wanaume, ligi ya mabingwa Afrika na shirikisho.

Hivyo kuanzia sasa futa hiyo habari ya Ihefu na Mwigulu kwenye kichwa chako.
 
Back
Top Bottom