FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Weka na kejeli za yanga dhidi ya simba, umemsahau na yule aliyesema "simba wakishinda dhidi ya jwaneng nikatwe mashine na serikali isiingilie kati", na wale waliosema "yani simba imtoe wydad hatua ya makundi wasahau hilo hili kundi wanapita wydad na asec"
Utamkata Vipi machine mtu ambaye Hana hiyo machine? huyo si chizi Tu kama machizi wengine kama Ahmed Ally category?
 
Mkuu hawa vyura wasije tushangaza tena.

"Wamerudisha moja SFG"
3-1
Niliacha kuangalia mpira dakika ya 80'

Siku za hivi karibuni nimekuwa mbali sana na mpira.

Kuna vitu naviona bado haviko sawa kwenye timu yangu.

Japo tumezoea kuona wengi wetu tukikosoa pale timu inapofungwa lakini leo nimeshuhudia makosa mengi sana pengine kuliko hata kwenye mechi tulizopoteza alama 3

Simba kwa sasa imekosa consistency na sio competetive kabisa.

Itacheza vizuri mechi moja lakini mechi mbili zinazofuta itacheza hovyo tena kwa makosa yaleyale yaliyopigiwa kelele.
 
Kweli.
 
Ivi wakati tunamsaka kiungo wa kesho .....
Kagoma hawezi kutufaa pale kati kweli....?
Nawaza tu ...maoni yenu
Ana umri gani mpaka sasa?
Maana inatakiwa tungeneze timu iliyo jaa vijana watakao itumikia timu kwa muda mrefu.
 
Utamkata Vipi machine mtu ambaye Hana hiyo machine? huyo si chizi Tu kama machizi wengine kama Ahmed Ally category?
Duuh kweli huko wenye akili ni wawili tu, yani aliyesema hivyo ni mwanaume halafu wewe unasema hana mashine, kuna clip baadaye wamemuweka mtu kati wanataka wamkate hiyo mashine mbona aliomba msamaha yeye mwenyewe
 
Kama unaweza kumuhonga singida ndio utaacha kumuhonga galaxy? Kuna timu ilihongwa ikaachia ngao ya jamii
Ni kweli kabisa maana hata Simba alihongwa akakubali kufungwa goli 5 na Yanga
 
Kusema kweli namna Simba Inavyo cheza haileweki walifikaje robo fainali ya klabu bingwa Afrika.
Kama ni nguvu za giza basi jamaa ni kiboko.
Sasa naelewa kwanini mashabiki Wana stress juu ya timu Yao.
WW unapenda kuleta majini yako kwa simba..huwa naona point zako umekazana na uchawi...sasa uchawi uache kuwasha mota za miguu kama za vyura ziwe tena zina feli kama za Simba?? Nyie ndo wanga wachawi na walozi..majini yenu kila kitu chenu..
 
Back
Top Bottom