FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Kusema kweli namna Simba Inavyo cheza haileweki walifikaje robo fainali ya klabu bingwa Afrika.
Kama ni nguvu za giza basi jamaa ni kiboko.
Sasa naelewa kwanini mashabiki Wana stress juu ya timu Yao.
 
Ingekua yanga hapa singida angekua kashachukua 5. Simba kapoteza chances nyingi mpaka singida wamerudi mchezo
True..

Nafasi zinachezewa sanaaa yaan sijui kwenye pitch za mazoezi hawarekebishagi makosa....

Kwa uchezaji huu wa kuto tumia nafasi zinazo tengenezwa Kwa usahihi tusitarajie maajab yeyote tukimenyana na alhaly
 
Pro unatoaje pasi kwa nyuma wakati timu ipo speed kwenda mbele
Huna timu, timu mbovu kama Singida second half unakosa kuwapiga mkono badala yake wanachafuwa clean sheet?

Ndio mjuwe sasa Yanga inapotowa vipigo vya tano tano msidhani ni jambo rahisi.
 
Kusema kweli namna Simba Inavyo cheza haileweki walifikaje robo fainali ya klabu bingwa Afrika.
Kama ni nguvu za giza basi jamaa ni kiboko.
Sasa naelewa kwanini mashabiki Wana stress juu ya timu Yao.

Hii Lzm itakuwa mibange....
 
... 🗣️ 𝘼𝙆𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙉𝙀𝙉𝙊

Tuweke akiba ya maneno ✍️

"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain 🇹🇳 utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"

Full — 🇹🇳 Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________

"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"

Full — Yanga 3 - 1 Mazembe 🇨🇩
Full — 🇨🇩 Mazembe 0 - 1 Yanga
Full — Yanga 2 - 0 US Monastir 🇹🇳

1. Young Africans 🇹🇿 ☑️
2. US Monastir 🇹🇳 ☑️
3. Stade Malien 🇲🇱
4. TP Mazembe 🇨🇩

🎖️ Final (CAF-CC).
_________________________________

"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad 🇩🇿 bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria 🇩🇿, kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"

"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"

Group stage final ;

1. 🇪🇬 Al-Ahly Cairo ☑️
2. 🇹🇿 Young Africans SC ☑️
3. 🇩🇿 CR Belouizdad
4. 🇬🇭 Medeama
_______________________________

"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"

Full — Yanga 4 - 0 CR Belouizdad 🇩🇿
____________________________

"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns 🇿🇦, Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"

Full — Yanga ? - ? Mamelodi 🇿🇦 ...
Hapa umechambua au umekuwa mtunza kumbukumbu masijala wa wazi?
 
Benchika karudi au timu ipo na Matola
 
Akiba ya maneno inawekwa na watu waoga

Kuna aina ya watu wanafanya analysis ya mechi baada ya mechi hao nawaita waoga.

Yanga ikitokea kamfunga Mamelody hiyo ni bahati na maajabu ya mpira.

Na hii sisemi kwasababu tu ya ni Yanga.

Hata Al Ahly hapendi kukutana na Mamelody
 
... [emoji2788] 𝘼𝙆𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙉𝙀𝙉𝙊

Tuweke akiba ya maneno [emoji3578]

"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain [emoji1249] utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"

Full — [emoji1249] Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________

"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"

Full — Yanga 3 - 1 Mazembe [emoji1078]
Full — [emoji1078] Mazembe 0 - 1 Yanga
Full — Yanga 2 - 0 US Monastir [emoji1249]

1. Young Africans [emoji1241] [emoji3514]
2. US Monastir [emoji1249] [emoji3514]
3. Stade Malien [emoji1159]
4. TP Mazembe [emoji1078]

[emoji2422] Final (CAF-CC).
_________________________________

"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad [emoji1026] bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria [emoji1026], kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"

"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"

Group stage final ;

1. [emoji1093] Al-Ahly Cairo [emoji3514]
2. [emoji1241] Young Africans SC [emoji3514]
3. [emoji1026] CR Belouizdad
4. [emoji1110] Medeama
_______________________________

"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"

Full — Yanga 4 - 0 CR Belouizdad [emoji1026]
____________________________

"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns [emoji1221], Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"

Full — Yanga ? - ? Mamelodi [emoji1221] ...
Weka na kejeli za yanga dhidi ya simba, umemsahau na yule aliyesema "simba wakishinda dhidi ya jwaneng nikatwe mashine na serikali isiingilie kati", na wale waliosema "yani simba imtoe wydad hatua ya makundi wasahau hilo hili kundi wanapita wydad na asec"
 
Ivi wakati tunamsaka kiungo wa kesho .....
Kagoma hawezi kutufaa pale kati kweli....?
Nawaza tu ...maoni yenu
 
Back
Top Bottom