OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chasambi yupo benchHivi hao madogo waliosajiliwa majuzi hapa kina chasambi hawapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chasambi yupo benchHivi hao madogo waliosajiliwa majuzi hapa kina chasambi hawapo?
Si aingie? Mimi hapo ndipo huwa nashangaa kuwaweka wtt wa watu benchi..na ana speed na ni mfungaji..Chasambi yupo bench
Bado dk chache mpira uishe vumiliaNgoja nilale kikubwa mpk hapa point 3 zipo kibindoni hata ije kam baki ya jeshi hawawezi kurudisha yote..
Mkuu hawa vyura wasije tushangaza tena.Mamelody wameshikiliwa bomba na supersport mpaka sasa ni 1-1
Mechi ikiisha hivyo utaona baadaye vijana wa Mwakalebela wakihamasika kuwa nao wanaweza kupata matokeo kama hayo
Ingekua yanga hapa singida angekua kashachukua 5. Simba kapoteza chances nyingi mpaka singida wamerudi mchezoniAngalau leo tunashuhudia mechi halisi ya soccer, siyo yale maigizo ya jana.
Huu uwanja si ndio mliosema Yanga wamerogaNgoja nilale kikubwa mpk hapa point 3 zipo kibindoni hata ije kam baki ya jeshi hawawezi kurudisha yote..
Basi hujui kinachoendelea mkuu,pole sanaSingida Fountain Gate iliitwa hivyo baada ya Singida United ya Mwigulu kuungana na Fountain Gate walio na timu ya wanawake ili Singida apate kibali cha kucheza mechi za CAF, ndio akashiriki shirikisho.
Tambua CAF bila kuwa na timu ya wanawake huwezi kushiriki mashindabo yao ya wanaume, ligi ya mabingwa Afrika na shirikisho.
Hivyo kuanzia sasa futa hiyo habari ya Ihefu na Mwigulu kwenye kichwa chako.
Angalau leo tunashuhudia mechi halisi ya soccer, siyo yale maigizo ya jana.
... 🗣️ 𝘼𝙆𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙉𝙀𝙉𝙊Mamelody wameshikiliwa bomba na supersport mpaka sasa ni 1-1
Mechi ikiisha hivyo utaona baadaye vijana wa Mwakalebela wakihamasika kuwa nao wanaweza kupata matokeo kama hayo
Goli la Singida kafunga nani...... we kolokwinyo?View attachment 2932764
Muda ni Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2932807
Kikosi cha Singida FG Kinachoanza
View attachment 2932837
#nguvumoja#.
Updates...
Dakika ya 5'
Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama.
Dakika ya 8'
Penati wanapata Simba.
Anaipiga Saidoo
Goaaaaaaaaalllll
2-0.
Dakika ya 34'
Fredddd Goooooooooooal
Simba wanapata goli la 3.
3-0
HT
Simba 3-0 Singida FG.
Kipindi Cha Pili.
Simba wanafanya Sub.
Inonga Out
Kennedy Juma Inn
Hata kwa mayele mlisema hivyo hivyo tualikua Mchezaji bora kabla hajaja Pacome