FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Ila kuna bad day kwenye kazi..huyu kibu ni msaada siku zingine..yani Simba inaongoza kwa kuwalaumu na kuwasema wachezaji wake..nadhani kama wanasomaga maoni waweza pata depression..
Yes, kuna siku mbaya kazini, sipingi hilo, ila mpaka namsema ni kwamba nimemchunguza hivi karibuni nimeona haya.
Akiiona comment kama hii akiichukulia positive itamjenga, mpira ni mchezo unaoanzia kichwani kisha mwili unatenda kile cha kichwani hivyo inakuwa rahisi. Wachezaji wengi wazuri husifika kwa kutumia akili na sio miguvu kuliko akili.
 
Simba katikati imekufa kabisa. Singida inafanya sub kocha wa Simba kala ganzi tu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
SFG wana ball controll nzuri kwenye midfield.
 
Mkuu watu wanaleta ligi tu ila kuna clip niliiona instagram ila sikuidownload, wameunganisha vipande Hersi, Kamwe, Privaldinho na Manara wakiwa wanamsifia Chama katika mazingira tofauti, kwamba ndio mchezaji bora kwenye ligi ya Tanzania kwa misimu yote aliyokuwepo hakuna anayemgusa
Na huo ndio ukweli wenyewe, chama ni mtu mwingine, japo na watu wanaomzunguka mchezoni wanamuangusha ila chama ni mchezaji bora zaidi kumuona katika ligi kuu tanzania
 
Mkuu watu wanaleta ligi tu ila kuna clip niliiona instagram ila sikuidownload, wameunganisha vipande Hersi, Kamwe, Privaldinho na Manara wakiwa wanamsifia Chama katika mazingira tofauti, kwamba ndio mchezaji bora kwenye ligi ya Tanzania kwa misimu yote aliyokuwepo hakuna anayemgusa
alikua Mchezaji bora kabla hajaja Pacome
 
Ila kuna bad day kwenye kazi..huyu kibu ni msaada siku zingine..yani Simba inaongoza kwa kuwalaumu na kuwasema wachezaji wake..nadhani kama wanasomaga maoni waweza pata depression..

Sasa mtu kama Kibu anakupa 3/10 kwa nini asisemwe. [emoji3][emoji3]
 
Mkuu watu wanaleta ligi tu ila kuna clip niliiona instagram ila sikuidownload, wameunganisha vipande Hersi, Kamwe, Privaldinho na Manara wakiwa wanamsifia Chama katika mazingira tofauti, kwamba ndio mchezaji bora kwenye ligi ya Tanzania kwa misimu yote aliyokuwepo hakuna anayemgusa

Chama akikutana na timu mbovu utampenda...
 
Freddy, Chama na Zimbwe

Kwa kufuatana wametengeneza nafasi kubwa.

Chama na Freddy wamedhinitiwa na ubora wa kipa pamoja na beki.

Mohamed Husseni sijui alichokifanya
 
Back
Top Bottom