Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Utamkata Vipi machine mtu ambaye Hana hiyo machine? huyo si chizi Tu kama machizi wengine kama Ahmed Ally category?Weka na kejeli za yanga dhidi ya simba, umemsahau na yule aliyesema "simba wakishinda dhidi ya jwaneng nikatwe mashine na serikali isiingilie kati", na wale waliosema "yani simba imtoe wydad hatua ya makundi wasahau hilo hili kundi wanapita wydad na asec"
Yani hamna furaha kabisa.Ivi wakati tunamsaka kiungo wa kesho .....
Kagoma hawezi kutufaa pale kati kweli....?
Nawaza tu ...maoni yenu
Niliacha kuangalia mpira dakika ya 80'Mkuu hawa vyura wasije tushangaza tena.
"Wamerudisha moja SFG"
3-1
Kweli.Niliacha kuangalia mpira dakika ya 80'
Siku za hivi karibuni nimekuwa mbali sana na mpira.
Kuna vitu naviona bado haviko sawa kwenye timu yangu.
Japo tumezoea kuona wengi wetu tukikosoa pale timu inapofungwa lakini leo nimeshuhudia makosa mengi sana pengine kuliko hata kwenye mechi tulizopoteza alama 3
Simba kwa sasa imekosa consistency na sio competetive kabisa.
Itacheza vizuri mechi moja lakini mechi mbili zinazofuta itacheza hovyo tena kwa makosa yaleyale yaliyopigiwa kelele.
Ana umri gani mpaka sasa?Ivi wakati tunamsaka kiungo wa kesho .....
Kagoma hawezi kutufaa pale kati kweli....?
Nawaza tu ...maoni yenu
Duuh kweli huko wenye akili ni wawili tu, yani aliyesema hivyo ni mwanaume halafu wewe unasema hana mashine, kuna clip baadaye wamemuweka mtu kati wanataka wamkate hiyo mashine mbona aliomba msamaha yeye mwenyeweUtamkata Vipi machine mtu ambaye Hana hiyo machine? huyo si chizi Tu kama machizi wengine kama Ahmed Ally category?
Kilaza Gamondi alikosa admission ya hiyo QTBenchika anafanya QT kwao.
Hizi levo zenu sasa, ndo timu mnazoweza kufunga hizo, mletewe na pamba fc π€£π€£π€£π€£Naona kweli kishindo cha wakoma kimewakimbiza washami..
π π
Ni kweli kabisa maana hata Simba alihongwa akakubali kufungwa goli 5 na YangaKama unaweza kumuhonga singida ndio utaacha kumuhonga galaxy? Kuna timu ilihongwa ikaachia ngao ya jamii
Hata nyie Vyura fc mje tuu na nyie ni level za pamba...hahhaahHizi levo zenu sasa, ndo timu mnazoweza kufunga hizo, mletewe na pamba fc π€£π€£π€£π€£
Yamehamia Benjamini... π πHuu uwanja si ndio mliosema Yanga wameroga
WW unapenda kuleta majini yako kwa simba..huwa naona point zako umekazana na uchawi...sasa uchawi uache kuwasha mota za miguu kama za vyura ziwe tena zina feli kama za Simba?? Nyie ndo wanga wachawi na walozi..majini yenu kila kitu chenu..Kusema kweli namna Simba Inavyo cheza haileweki walifikaje robo fainali ya klabu bingwa Afrika.
Kama ni nguvu za giza basi jamaa ni kiboko.
Sasa naelewa kwanini mashabiki Wana stress juu ya timu Yao.
Hee ww si ubaki na furaha yako mbona kama una force accusation...Yani hamna furaha kabisa.
Msome Kolo mwenzio Scars hapo juu ndio utathibitisha hamna furaha hata timu ikifunga vibonde wenzenu.Hee ww si ubaki na furaha yako mbona kama una force accusation...