FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Wazee hapa bila spray hatutoboi ukweli usemwe.
 
LIBASSE... ana pilika nyingi bila kusaidia team......
sometimes bora MORRIS Abraham
 
Reactions: K11
Tayari amechezea viwili.

Hamna kwa leo pumzika hawa Namungo sidhani kama wataweza kushikilia bomba kwa dakika zote hizi zilizobakia. 😃
Nimechukua maamuzi magumu ya kwenda japo najua Simba kwa kuFosi wapo 🔥 🔥 na Namungo hawawwzi kujishikilia ila nimekuja tu huenda nikarudi na furaha 😂
 
Nipo bandani now , leo nilikuwa sina ratiba za kucheki mpira ila matokea ya kipindi Cha kwanza yamenivuta niende bandani na nimevaa track kabisa kwa ajili ya kubana mbupu vizuri View attachment 3703359
Wewe bana taratibu usije ukapasua ukakosa bikra 72 peponi
 
CHAMA atoke tu... accuracyyake imeshuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…