Pole coca, nafaham maumivu unayo pitia simba ikifungwaπ«£Jamani hii Simba sasa ndio nini kurushana roho hivi? Huyo Nindi anafanya nini uwanjani? Toure yuko wapi? Na hata Sub haonekani,
Nakerekwa mnoo, khaaaah
π€£π€£π€£ kumbe sio mbali.Nipo bandani now , leo nilikuwa sina ratiba za kucheki mpira ila matokea ya kipindi Cha kwanza yamenivuta niende bandani na nimevaa track kabisa kwa ajili ya kubana mbupu vizuri View attachment 3703359
Yah! Tutawasumbua sana leo.Matokeo yakiisha hivi hivi , inabidi nijiunge Gb 2 za haraka Leo itakuwa sio siku ya kukosa kushinda Insta
Em huko na wewe.Pole coca, nafaham maumivu unayo pitia simba ikifungwaπ«£
Kakamatika leo. ππDuuh hatari sana!
Vipi ikiwa tofauti mtani? Maana unajimaliza mnoo.Yah! Tutawasumbua sana leo.
Mana walikuwa wanajikuta sana. π
Bora umejileta. ππEm huko na wewe.
Tofauti itoke wappiii. π€ͺVipi ikiwa tofauti mtani? Maana unajimaliza mnoo.
Lol πππ
Sio na mbali na ninapoishi ni kwa ndugu yangu huku Kijijini naingia muda wowote kama Familia ππ€£π€£π€£ kumbe sio mbali.