FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Asante Sana Moderator Una update kwa wakati, tofauti na mechi za Yanga au Azam
Tulia usiwasumbue waache waendelee na mambo yao

Kwasababu wakisema waweke umakini kwenye mechi yetu, itawafanya wawe bize kwasababu kila muda watakuwa na vitu vingi vya kuripoti na kujikuta wanasahau majukumu mengine.

Acha yakifika 5 ndio tuwastue
 
Back
Top Bottom