Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Daaah nikikumbuka kuwa Guede naye pamoja na kuruka sarakasi lakini wamemtema
Nabaki nahuzunika na kuwaona Yanga makatili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah nikikumbuka kuwa Guede naye pamoja na kuruka sarakasi lakini wamemtema
Hamna kitu hapo!!!
Aiseee,Sina hamu cute.Em ngoja niende nae taratibu....pm anaongea Sana kuhusu mi lakini nilivunga...em ngoja nione gender yake halisi😂😂😂 nkamu hilo boga wanalipakua ni suala la muda wote mtalijua.!
Huyu nyie ndo mnamchekea na wote mnayecheka naye atawavua nguo, huko pm anasambaza ubuyu kawalala wote mnaocheka naye tena kavu 🤣🤣🤣Moto umeuanzisha ujue kuuzima....si una pdf langu limwage nijue pa kuanzia.Nilishajua si mwanaume tangu nione wagombana na wanaume.Ptuuu! Ni kheri angemeza Misoprostol☹️
Unateseka ukiwa wapi? 🤣Hamna kitu hapo!!!
MnaniudhiiUnateseka ukiwa wapi? 🤣
Mbeya na kigamboni wapi na wapi? Nishazoea kucheka na kilamtu mie....em ngoja tuone panapovujaHuyu nyie ndo mbamchekea na wote mbayecheka naye atawavua nguo, huko pm anasambaza ubuyu kawalala wote mnaocheka naye tena kavu 🤣🤣🤣
Guede alikuwa mtu sahihiYanga wajinga walimuacha Guede wangu
Hiyo ndio maana ya ubaya ubwela raha yetu Uto mkitesekaMnaniudhii
Hoja zako kituko sana hivi Fred funga funga bado yupo Simba SC Cc ephen_Daaah nikikumbuka kuwa Guede naye pamoja na kuruka sarakasi lakini wamemtema
Nabaki nahuzunika na kuwaona Yanga makatili sana
Hii hoja yako ni dhaifu sana. Kwani hp Zalan na Vital'o walilazimishwa kuchezea viwanja vyaTanzania? Mbona mwaka jana/juzi El Mereikh ya Sudan ilichagua kuchezea Rwanda, na bado walitolewa!!Makundi anapangwa na nani?
Ebu fikiria tu
Mwaka juzi mlipanga na Zalan, hao Zalan kwa kipindi kile walikuwa ni level ya Majimaji.
Hiki ndio kiwanja chao cha nyumbani niambie mngeweza kupata hata goli moja endapo mechi yao ingeamukiwa kucheza hapa?
View attachment 3078958
Lakini pamoja na unafuu huo wa kupewa kibonde haikutosha mpaka pale mlipofanyiwa favor kwa hiyo team kucheza michezo yote hapa hapa.
Mwaka jana tena hivyo hivyo na ile kampuni ya uuzaji mtindi Asas. Kabla ya draw hakuna mtu akiyekuwa anajua kuwa Asas anatimu sio mimi tu hadi wewe hukuwahi kujua.
Dusko tena likawaangukia, mechi mbili zikachezwa chamazi.
Juzi tena mkaja na hao Vitalo kwa mfumo uleule yani timu kibonde lakini mechi zote zimechezwa hapa hapa.
Pm anawananga nyie mademu zake na mnamuomba pesa, wote kawafokoa kasema na mnapenda kumuomba pesa 😹😹😹Aiseee,Sina hamu cute.Em ngoja niende nae taratibu....pm anaongea Sana kuhusu mi lakini nilivunga...em ngoja nione gender yake halisi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee🙌Pm anawananga nyie mademu zake na mnamuomba pesa, wote kawafokoa kasema na mnapenda kumuomba pesa 😹😹😹
Uzi wenu wa mapopo kapita na nyie wote eti.!! 🤣
Misoprostol ni nini mkuu?Moto umeuanzisha ujue kuuzima....si una pdf langu limwage nijue pa kuanzia.Nilishajua si mwanaume tangu nione wagombana na wanaume.Ptuuu! Ni kheri angemeza Misoprostol☹️
😂😁😁😁😁😁😁😁 Ulimuuzia naniYule tulimuuza