FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Wameingia robo kwa kuchechemea πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
 
Makolo bhana, yani mnapiga bomu mochwari halafu mnashangilia bla aibu, shame on you kolozdad fc
 
Kubeba kombe na kina Saido? Punguza mizaha.
 
Kati ya Simba na Uto nani apewee Mamelodi
Ahmed Aly ndo msemaji bora mpk sasa..hajapanic hajakata tamaa na hajazimia...
Hii ndio maana ya ukubwa.
Na ukubwa ni experience.
Simba haichagui wa kucheza nae,yoyote atakaeletwa tutakula nae.
Iloshacheza na mabingwa wa Afrika akina zamalek.shida Iko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…