Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?Wameingia robo kwa kuchechemea 🤣😂🤣
Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.