FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
Simba ni moja ya timu 5 kati ya 16 iliyofungwa mechi 1 au 0. Pia ni timu inayoongoza kwa goal difference kati ya timu za makundi yote. Mpaka hapo unaweza kujua nani ana takwimu mzuri.
 
Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
Tesekaa taratibuuuu mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa 3 zinapatikana madukani koteee. Vipi huna hela nikununulie uanze kumezaaa?
 
Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
Usijisahaulishe kwamba msimu huu ndo Mara yako ya kwanza kuingia Robo Tangu mwaka 98..
Sisi tumezoea Mfululizo misimu sita sasa
 
Na kwa haya matokeo confidence kwa Simba imapanda.na unapokua kwenye changamoto yoyote confidence ni dawa Bora kabisa.
 
Hapo sasa...wanaozimia ni hawa washamba wa mashindano..
Tena kibaya zaidi ushindi wa Simba umekua wa kibabe sana.
Kwa wapenzi wa movie za action watajua ukweli huu
Yaani Simba ni kama makomando waliokua wamezingirwa kambini kwao na maadui wenye Kila aina ya silaha.
Makomando Simba wakiwa hawana msaada wowote wakaanza kupanga mipango ya kujiokoa matokeao yake wameweza kuwapinga maadui zao wote waliokua wakishiikiana kuwazingira na hatimae kutoka nje kibabe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…