FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Pole sana
Mungu akuafu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yule ni dhaifu hata kwa kumwangalia tu.Ingekuwa ni ushindi huu leo ndiyo team yake imepata sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine.
Yaani Bendera ya yanga ingekuwa hadi leo bado inapepea nusu mlingoti.
 
TRA iliyochangamka iliyomfunga Wydad na kumtoa Orlando Pirates machindanoni..
Orlando Pirates ni wabovu kama ilivyo kwa Wydad, majina yasikutishe. Kwenye hii michuano hakuna mechi yoyote ambayo wydad alipata ushindi wa goli 2 na zaidi.
Kifupi hili kundi halijatoa timu yoyote bora na sitoshangaa wote mkitoka robo fainali.
 
U

Kwa Ushahidi angalia kwenye tovuti ya CAF. Hii ni baada ya Bezulidad kupeleka caf ushahidi. Kolo Mwafaaaa
Una wazimu wee? Kufurushwa afurushwe galaxy, kifafa kikupatee wee inahuuu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Orlando Pirates ni wabovu kama ilivyo kwa Wydad, majina yasikutishe. Kwenye hii michuano hakuna mechi yoyote ambayo wydad alipata ushindi wa goli 2 na zaidi.
Kifupi hili kundi halijatoa timu yoyote bora na sitoshangaa wote mkitoka robo fainali.
Mnao tesekaa, dawa 3 ziko madukani kote km hela ya kununua hakuna, semeni mnunuliwe muanze dosage mapema. Hatutaki keroo sie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naombeni post match interview ya kocha wa jwaneng ......nimsikie
Mbona kama hata hakuhojiwa,alikubali kweli kuhojiwa?maana nilimwona ni kama alienda vyumbani moja kwa moja mechi ilipoisha
 
Ushindi wa leo ni goli nyingi lakini hauna vibe kama ushindi wa juzi wa Yanga.

Yaani hata Simba ingefunga goli 20 wala kusingekuw na vibe kama la juzi kumfunga Muarabu.
Ushindi wa Yanga inaingiaje hapa,we sema unawashwa tu kuizungumzia
 
Orlando Pirates ni wabovu kama ilivyo kwa Wydad, majina yasikutishe. Kwenye hii michuano hakuna mechi yoyote ambayo wydad alipata ushindi wa goli 2 na zaidi.
Kifupi hili kundi halijatoa timu yoyote bora na sitoshangaa wote mkitoka robo fainali.
Kwahiyo uto ndo wataenda nusu?, Chicken head!
 
Haha nipo mtani tukutane Robo fainali 😊😊
Usijali Mtani. Kiukweli tumeing'arisha Tanzania kimataifa.

Yale mambo ya Mwakarobo muyaache sasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usijali Mtani. Kiukweli tumeing'arisha Tanzania kimataifa.

Yale mambo ya Mwakarobo muyaache sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah kabisa mtani, ila msipojiangalia, safari hii hilo Jina tunaweza tukawarithisha ninyi [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…