Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamtaamini macho yenu leoMaisha
Ft 0-1Mambo yameiva. Vikosi vinaingia. Ngoja tuone.
Hamka utajinyea kitandani.FT
Simba 3 Galax 0
SAA tatu mikia wote mtakimbia hapa jukwaaniBIGA HAWA MAKIRIKIRI LEO
Kaa mtazame mnyama.Ft 0-1
Hutaamini leo Mwanzo mwisho samsung Galaxy kutoka Botswana watachezea Goal za kutosha..SAA tatu mikia wote mtakimbia hapa jukwaani
Guvu Moja 😊[emoji881][emoji881]𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘[emoji881][emoji881]
[emoji471] #CAFCL
[emoji460]️ Simba SC Vs Jwaneng Galaxy
[emoji414] 02.03.2024
[emoji909] Benjamin Mkapa
[emoji797] 7:00pm
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Simbaa
#WenyeNchi#
Hello [emoji112][emoji112] Tanzania.
Timu ya Wenye Nchi, Simba sports Tanzania hatimaye inaenda kukamilisha hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo unaanza saa moja kamili usiku masaa ya Afrika mashabiki
Je Simba ataendeleza ubabe wa kandanda safi East Africa?
Je Jwaneng Galaxy atafanya aliyoyafanya 2021?
Nchi ni ile ile, Timu ni zile zile na Uwanja ni ule ule.
Welcome for the show
====== ==
Timu ya Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa mwisho wa Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2024.
Ushindi utaifanya Simba ifuzu kuingia Robo Fainali kwa kufikisha pointi 9 hata kama Wydad itashinda dhidi ya ASEC Mimosas (imeshafuzu) na kufikisha pointi 9 pia, Simba ina faida ya kuwa na magoli mengi katika mechi baina ya timu hizo zilipokutana (head-to-head).
Aidha, Jwaneng nayo ina nafasi ya kufuzu, hilo litawezekana ikitokea imeshinda (itafikisha pointi 7) kisha Wydad ikapoteza.
Pamoja na yote ikumbukwe Jwaneng iliwahi kuiondoa Simba katika Raundi ya Pili ya michuano hiyo Msimu wa 2021/22, mchezo wa kwanza Simba ikishinda 2-0, marudio Galaxy ikashinda 3-1.
=========
Welcome for the show
KIKOSI CHA MNYAMA
View attachment 2922363
Jwaneng ni waafrika wenzetu, tuwapeni support jamani.SAA tatu mikia wote mtakimbia hapa jukwaani
Role model wa Yanga waangalie vzr upate vitu vya kujifunza.Hamka utajinyea kitandani.