FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Hawa washenzi walikuwa wanamwagwa dawa uwanjani walizopewa na utopolo kuoe avic town walinzi wa uwanja wakatoa kichapo
 

Attachments

  • MickyJnr___20240302__1763939827097952476_1_17639397656472657920.mp4
    4.9 MB
Kuna vimanyunyu kiasi vimenyesha Leo mchana.

Hii ni dalili ya ushindi Kwa Simba na kuzidiwa nguvu Kwa Yale Majini waliosaidiwa kambi Kule Avic town Kigamboni.

Natamani tukutane wenyewe Kwa wenyewe Nusu fainali.
Umesahau wakati mnapigwa kono la nyani asubuhi hadi mchana kulinyesha mvua kubwa sana lakini ilipofika jioni mkala kono la nyani.
 

Attachments

  • FB_IMG_17092318215078852.jpg
    FB_IMG_17092318215078852.jpg
    297.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom